IQNA – Papa Leo XIV amehudhuria mkutano wa dini mbalimbali uliofanyika katika Uwanja wa Mashahidi jijini Beirut, ambapo walikusanyika mapatriaki wa Kikristo wa Lebanon pamoja na viongozi wa Kiroho wa Kiislamu wa madhehebu ya Sunni na Shia na halikadhalika dini ya Druze chini ya hema moja.
Habari ID: 3481603 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/02
IQNA – Spika wa Bunge la Lebanon, Nabih Berri, amemkabidhi nakala ya Qur’ani Tukufu Papa Leo XIV, katika kikao chake na kiongozi wa Kanisa Katoliki aliyeko ziarani nchini humo.
Habari ID: 3481596 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/01
IQNA – Harakati ya mapambano ya Hizbullah nchini Lebanon imemtaka Kiongozi wa Kanisa Katoliki kulaani ukiukaji wa makubaliano ya kusitisha vita na mashambulizi ya Israel dhidi ya taifa hilo la Kiarabu.
Habari ID: 3481592 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/30
TEHRAN (IQNA)- Aliyekuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa 16, amefariki dunia leo Jumamosi, akiwa na umri wa miaka 95.
Habari ID: 3476335 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/31
Jinai za Kanisa
TEHRAN (IQNA)- Hatimaye, baada ya kusubiri kwa muda mrefu, Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki, amekwenda Kanada (Canada) na kuomba msamaha kwa wenyeji asilia wa nchi hiyo kutokana na kuhusika kanisa hilo katika moja ya jinai na maafa mabaya zaidi ya kibinadamu nchini humo.
Habari ID: 3475545 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/27
Uislamu na Ukriso
TEHRAN (IQNA)- Mkurugenzi wa Vyuo vya Kiislamu nchini Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani na kumkabidhi ujumbe wa maneno kutoka kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3475324 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/01